LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 12, 2023

MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO


Wabunge wakiwa viwanja vya bunge tayari kuingia bungeni Dodoma Aprili 12, 2023, 


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Masauni Hamad Masauni (kulia), akijadiliana jambo na Naibu waziri wa wizara hiyo, Jumanne Sagini 
Mbunge wa Isimani, William Lukuvi (kulia0 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ya Habari, Dkt. Omary Kipanga (kushoto), Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi. Godfrey Kasekenya.
Mbunge wa Viti Maalumu, Catherine Magige akiingia bungeni Dodoma.



Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula

Mbunge wa Mpanda Mjini, Selemani Kapufi.
Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt. Kaijage
Mbunge wa Viti Maalumu

Mbunge wa Nyasa, Dkt. Stela Manyanya 
Naibu Waziri wa Maji, Dkt. Maryprisca Mahundi


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages