Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa akiliipambania jimbo la Busanda mkoani Geita kuwa wilaya kutokana na kuwa na zaidi ya watu 700,000 na kata 24.Busanda ameyasema hayo wakati wa maswali na majibu bungeni Dodoma, Aprili 25, 2023. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇