Mbunge wa Viti Maalumu, Josephine Genzabuke ameiomba serikali kupeleka umeme katika shule na taasisi za umma katika Mkoa wa Kigoma.
Ametoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 27, 2023.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇