LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 23, 2023

HUU NDIYO MOSHI ULIOSABABISHA MTANANGE WA SIMBA WYDAD KUSIMAMA+video


Moshi huu ulisababishwa na mashabiki wa Wydad Casablanca baada kufyatua mafataki wakati wa mechi ya robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika kati ya Yanga na timu hiyo kwenye Uwanja wa Mkapa jijijini Dar es Salaam, Aprili 22, 2023. Baada ya kuona moshi umezidi kutanda uwanjani mwamuzi aliamua kusimamisha kwa muda mechi hiyo.

 


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages