LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 10, 2023

ASKOFU CHANDE: BIBLIA INASEMA WANAOFANYA USHOGA, USAGAJI WAUAWE+video

Askofu Dkt. Evance Chande ameunga mkono kampeni ya serikali ya kupiga vita vitendo vya ushoga, usagaji na ulawiti na kwamba hata kwenye biblia neno la Mungu limesema ni machukizo na hakika wauawe na damu itayomwagika itakuwa juu yao.

Ameyasema hayo alipokuwa akihubiri wakati wa Ibada ya Pasaka katika kanisa lake la Karmeli Assembilies of God eneo la Ipagala jijini Dodoma Aprili 9, 2023.

Waumini wakisikiliza kwa makini mahubiri ya Askofu, Dkt. Chande.




 Kanisa la Karmeli Assemblies of God.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Askofu Chande akihubiri kuunga mkono kampeni hiyo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages