LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 15, 2023

TANAPA, RC SENYAMULE KUUTANGAZA ZAIDI UTALII WA DODOMA+video


Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule wamejipanga kuutangaza utalii wa mkoa wa Dodoma.

Mkakati huo umebainishwa na Mkuu wa Mkoa, Senyamule na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Uhifadhi, TANAPA, Dkt. Noelia Myonga wakati wa mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma Machi 14, 2023 walipokuwa wakielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita kwa Tanzania na Mkoa wa Dodoma katika sekta ya utalii.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, RC Senyamule na Dkt Myonga wakielezea mkakati huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages