LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 19, 2023

SAMBALA ATAKA KILA WILAYA DODOMA IPEWE MALENGO YAKE


 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Said Sambala ametoa ushauri katika kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Dodoma (RCC) Machi17,2023 kuwa kila wilaya ipewe malengo na muda wa kuyatimiza ili kusonga mbele kimaendeleo.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Sambala akitoa ushauri wake huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages