Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Aretas James Lyimo kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ally Senga Gugu kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Gerald Msabila Kusaya kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Tixon Tuyangine Nzunda kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Tixon Tuyangine Nzunda kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.






No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇