Ikulu, Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi leo amemteua Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar George Joseph Kazi kuwa Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
Tarifa iliyotolewa na Ikulu ya zanzibar leo, imesema uteuzi huo unaanza leo Machi 22, 2023.
Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar George Joseph Kazi.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇