Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie Charlotte G.Tang,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimakabidhi zawadi mgeni wake Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie Charlotte G.Tang,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa Ufilipino Nchini Tanzania Mhe.Marie Charlotte G.Tang,wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇