Katibu Mkuu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi Sophia Mjema, akizungumza na wanachama wa CCM Wilaya ya Iramba, jana.Katibu Mkuu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Oganaizesheni Issa Hajji Ussi akizungumza na wanachama wa CCM Wilaya ya Iramba, jana.

Wanachama wa CCM Wilaya ya Iramba, wakiwa kwenye Mkutano huo, jana. ©March. 2023 CCM Blog/Bashir Nkoromo



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇