LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 8, 2023

CHONGOLO ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WALIOUSIMAMISHA MSAFARA WAKE AYALAGAYA

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wa kata ya Ayalagaya ambao walimsimamisha barabarani wakati akielekea Dareda na kuelezea kero yao ya mita za maji zilizowekwa na  Mamlaka ya Maji Babati (Bawasa)


Katika ziara hiyo Katibu Mkuu ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu).



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema akihutubia.









 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages