Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT TAIFA). Mary Chatanda akihutubia wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa wajumbe wa baraza kuu la UWT jijini Dodoma Machi 21, 2023 na kusema wazi kuwa UWT wanajilipua na kwamba wanaume wawaelewe 2025 wanawake wa CCM watamchukulia Samia fomu ya kugombea urais.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akionesha ishara ya kuwapongeza UWT wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.
Wajumbe wa Baraza Kuu la UWT wakiimba wimbo wa hamasa
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chatanda akitangaza azma yao hiyo ya kumuunga mkono Rais Samia...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇