Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewasihi wanahabari kuacha kupaniki, muswada wa marekebisho ya sheria ya huduma za habari kusomwa kwa mara ya kwanza bungeni kesho.
Ametoa kauli hiyo kutokana na Jukwaa la Wahari Tanzania (TEF) kusababisha taharuki kwa kutoa tamko bila uthibitisho kutoka kwa wahusika serikali kuhusu kuahirishwa kwa upelekaji wa muswada huo kulikotangazwa jana Februari 8, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa na kutoa sababu zilizosababisha kuhahirishwa huko.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akisema maneno ya utanguzi kabla ya kumkaribisha Waziri Nape kuzungumza.Wanahabari wakiwajibika wakati wa mkutano huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Nape akisikitishwa na kauli hiyo ya TEF....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇