LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 25, 2023

WAKURUGENZI WA REDIO AWAICHI, JACQUELINE WAIOMBA TCRA KUANDAA TENA MAFUNZO YA UBORESHAJI UTANGAZAJI+video

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Savvy Media inayomiliki Kituo cha Redio cha Savvy FM cha Arusha, Awaichi Mawalla (kushoto) na Mkurugenzi wa Highlands FM Radio ya Mbeya, Jacqueline Mwakyambiki wameishukuru Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuendesha mafunzo ya uboreshaji wa Tania ya Utangazaji yaliyofanyika Februari 13-14, 2023 jijini Dodoma na kuhudhuriwa na wadau wa tasnia hiyo kutoka mikoa mbalimbali nchini.

Wadau hao wamiomba TCRA kuandaa mara kwa mara mafunzo hayo kwa lengo la kuwajengea uwezo zaidi ili kuendesha kwa ufanisi Redio, Televisheni na mitandao yao ya kijamii.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Awaichi na Jacqueline wakishukuru na kuomba tena mafunzo hayo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages