LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 4, 2023

UWT TAIFA YAWAOMBEA PUMZIKO LA AMANI PEPONI WATU 17 WALIOFARIKI KWA AJALI TANGA


 Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT TAIFA), inatoa salamu za pole kwa wote walioguswa na WATU 17 waliofariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili likiwemo gari iliyokuwa ikisafirisha msiba kugongana uso kwa uso usiku wa kuamkia Jumamosi Februari 4, 2023 katika eneo la Magira Gereza wilayani Korogwe mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages