LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 14, 2023

TBA INA UPUNGUFU WA ZAIDI YA WAFANYAKAZI 400+video

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Nyumba za Seikali,TBA, Daudi Kondoro ameeleza kuwa moja ya changamoto wanayokabiliana nayo ni ufungufu wa wafanyazi 450 kati ya 350 walionao ambapo idadi inayotakiwa ni 800.

Ameeleza hayo alipokuwa akizungumza na wanahabari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO kuhusu utekelezaji wa majukumu ya wakala.


Wanahabari wakiwa makini na kazi yao.

Mtangazaji wa Uhuru FM, Sakina Abdulmasoud akiuliza swali.
Ramadhan Hassan wa Gazeti la Mwananchi akiuliza swali.
Deus Mhagalewam Mhagale Blog  akiuliza swa
Jack wa The Chanzo akihoji wakati wa mkutano huo.

Kaijage wa Gazeti la Raia Mwema

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa  akihitimisha mkutano huo.


 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kondoro akielezea changamoto zinazowakabili...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages