LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 12, 2023

NAIBU WAZIRI RIDHIWANI AWASIRI MANYARA KWA ZIARA YA KIKAZI

 "Nimewasili mkoa wa Manyara kwa ziara ya Siku mbili. Pichani nikiweka sahihi kitabu cha Chama @ccmtanzania kuwajulisha kuwa nimewasili na tayari kwa kazi." Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete. #KaziInaendelea #ArshiYetu










No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages