LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 9, 2023

MWENYEKITI UWT TAIFA CHATANDA ATETA NA WABUNGE WANAWAKE


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT TAIFA), Mary Chatanda (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa wabunge wanawake baada ya kuteta nao kwenye Ukumbi wa Msekwa, bungeni Dodoma Februari 8, 2023.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT TAIFA), Zainab Shomari (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa wabunge wanawake baada ya kufanya nao kikao kwenye Ukumbi wa Msekwa, bungeni Dodoma Februari 8, 2023.
Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT TAIFA), Mary Chatanda kadi iliyosainiwa na wabunge wanawake.
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT TAIFA), Zainab Shomari (kulia) akipokea kadi kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Rugangira ambayo imesainiwa na wabunge wanawake.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT TAIFA), Mary Chatanda akijibu maswali ya wabunge wakati wa kikao hicho.
Chatanda akiwa na baadhi ya wabunge 

 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages