Katibu wa NEC, Idara ya Itkadi na Uenezi Sophia Mjema, ametoa maagizo kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga, kujiweka sawa ili kuwasaidia Vijana jinsi ya kuomba mashamba ambayo yameanza kutengwa kufuatia Sh. bilioni 900 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mashamba hayo yatakuwa ya umwagiliaji na pia yatakuwa na zana za kilimo na viwatilifu, ikiwa ni katika jitihada za Serikali kupunguza au kuondoa changamoto ya ajira kwa vijana. Mjema amesema hayo akiwa Wilayani Lushoto, Tafadhali msikilize hapo👇
Feb 19, 2023
Home
featured
siasa
MWENEZI MJEMA ATOA MAELEKEZO KUHUSU BILIONI 900 ZILIZOTOLEWA NA RAIS SAMIA KWA AJILI YA MASHAMBA YA UMWAGILIAJI
MWENEZI MJEMA ATOA MAELEKEZO KUHUSU BILIONI 900 ZILIZOTOLEWA NA RAIS SAMIA KWA AJILI YA MASHAMBA YA UMWAGILIAJI
Tags
featured#
siasa#
Share This

About Bashir Nkoromo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇