LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 5, 2023

MWAKA MMOJA WA WAZIRI NAPE; SERIKALI IMETEKELEZA KWA UFANISI OPERESHENI ANUANI ZA MAKAZI+video

Utekelezaji wa Operesheni #Anwanizamakazi


Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, mnamo tarehe 8 Februari alitangaza Operesheni Anwani za Makazi iliyokusudia kumpatia kila Mtanzania anwani anapoishi au kwenye eneo la kazi zake.

Katika #MwakaMmojawakuaminiwa #nape365 Mhe. Nape Moses Nnauye, chini ya Wizara ya  Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari alisimamia utekelezaji wa Operesheni hiyo iliyotekelezwa kwa ufanisi mkubwa na kuwa sehemu ya mafanikio ya #sensa2023 ambayo ilihusisha kuhesabu pia Makazi ya Watanzania.


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages