LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 8, 2023

MATUKIO KATIKA PICHA MAHAKAMA YA WILAYA NJE


Hakimu Mfawadhi mwandamizi  mahakama ya wilaya ya Nzega Hudi Hudi akizungumza na wadau mbalimbali wa mahakama siku ya kilele cha wiki ya sheria nchini hawapo pichani.

Hakimu Mfawadhi Mwandamizi Mahakama ya wilaya ya Nzega Hudi Hudi aliye kaa katikati na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama waliosima ni  watumishi wa Mahakama kwenye picha ya pamoja hivi karibuni kwenye kilele cha wiki ya sheria

Hakimu Mfawadhi Mwandamizi Mahakama ya wilaya ya Nzega Hudi Hudi aliye kaa katikati na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama waliosimama ni  mahakimu wa mahakama za mwanzo zilizopo wilaya ya nzenga kwenye kilele cha wiki ya sheria hivi karibuni

Hakimu Mfawadhi Mwandamizi Mahakama ya wilaya ya Nzega Hudi Hudi aliye kaa katikati na wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama waliosimama  ni walinzi katika mahakama ya wilaya na mahakama za mwanzo kwenye kilele cha wiki ya sheria hivi karibuni


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages