LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 3, 2023

KANYASU: WAWEKEZAJI HAWAVUTIWI NA MISAMAHA YA KODI, BALI SIASA SAFI, MIUNDOMBINU BORA+video

Mbunge wa Geita Mjini, Costantine Kanyasu amesema kuwa wawekezaji wengi wanapotaka kuwekeza katika nchi hawavutiwi na misamaha ya kodi bali mazingira ya siasa safi, miundombinu bora. Kanyasu ambaye pia ni Mtaaluma wa uchumi alikuwa anafafanua mbele ya vyombo vya habari kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Februari 2, 2023, kuhusu kauli iliyotolewa bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango kwamba misamaha ya kodi ni moja ya vivutio vya wawekezaji.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kanyasu akifafanua vizuri kuhusu jambo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages