Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kapufi akichangia hoja bungeni...
Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebatian Kapufi akichangia hoja bungeni Dodoma Februari 2,2023 kuhusu namna ya kuisapoti TAKUKURU, akishauri kwenye Sekratarieti ya Ajira kuondoa kipengele cha waliopitia JKT na mengine mengi....
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇