Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma, Khamis Fungameza amesema kuwa ili wajumbe wa baraza hilo wasije wakachekwa baadaye inabidi uongozi mzuri wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na timu yake tuuamshe usialale, tuufanye ukukuruke, tuuendeshe mchakamchaka kuwatumikia wananchi.
Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa wa baraza hilo uliofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule jijini Dodoma Februari 24, 2023.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Fungameza pamoja na mambo mengine akisisitiza hilo.....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇