LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 28, 2023

CHONGOLO AKUTANA NA MTATURU NA KINGU, IKUNGI LEO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Ndugu Miraji Mtaturu (kushoto) na Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi Ndugu Elibariki Kingu (kulia), baada ya kutembelea shamba la mwekezaji la uzalishaji wa mbegu za alizeti la ALFARDAWS lililopo Wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, leo.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages