Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Naibu Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Komredi Li Mingxiang (kushoto) leo tarehe 26 Februari 2023, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo na ujumbe wake wakiwa na Naibu Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Komredi Li Mingxiang baada ya mazungumzo yao leo tarehe 26 Februari 2023, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇