LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 12, 2023

ASKOFU CHANDE, DC SHEKIMWERI WACHANGIA UJENZI JENGO LA AFISA MTENDAJI KATA IPAGALA+video

Askofu Dkt Evance Chande wa Kanisa la Asemblies of God la Karmeli na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wamechangia ujenzi wa jengo la Afisa Mtendaji Kata ya Ipagala jijini Dodoma Februari 11,2023.

viongozi hao wametoa ahadi ya kuchangia ujenzi huo baada ya kuishiriki shughuli ya kupanda miti kuzunguka msingi wa jengo hilo pamoja na Kanisa la Karmeli.


Askofu Dkt Evance Chande wa Kanisa la Asemblies of God la Karmeli

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri 

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, viongozi hao wakiahidi kutoa mchango huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages