LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 16, 2023

WAFURAHI KUMUONA DKT MPANGO AKIPANDA MITI SHULE YA MSALATO

Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango (katikati) akipanda mti  katika Shule ya Msingi Msalato jijini Dodoma Januari 12, 2023,  ikiwa ni moja ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Kitendo hicho cha kufika shuleni hapo na kupanda miti kimefurahishwa na wanafunzi, walimu pamoja na Diwani wa Kata ya Msalato, Nsubi Bukuku na wananchi kwa ujumla.

Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dodoma wakipanda mti shuleni hapo.
Diwani wa Kata ya Msalato, Nsubi Bukuku akipanda mti shuleni hapo. Shule hiyo ambayo imehamishwa  kupisha ujenzi wa Uwanja mpya wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, ujenzi wake umesimamiwa vilivyo na diwani huyo.
Wanafunzi wa shule hiyo wakipanda mti.




Wanafunzi wa shule hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Dkt Mpango na viongozi wengine.
Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango (katikati) akitembelea Shule ya Msingi Msalato jijini Dodoma Januari 12, 2023, baada ya kupanda miti ikiwa ni moja ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mwalimu wa Mazingira wa shule hiyo, Rehema Mponda.
 

Diwani wa Kata ya Msalato, Nsubi Bukuku.

Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Sara Nawita. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, walimu, wanafunzi na diwani wakielezea jinsi walivyofurahishwa na ziara ya Dkt Mpango shuleni hapo... IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages