LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 18, 2023

TANAPA: HIFADHI ZA SERENGETI, TARANGIRE ZIMEFIKIA UKOMO WA UWEKEZAJI

Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka  za Taifa (TANAPA), Mhifadhi William Mwakilema  akitoa maelezo kuhusu muongozo wa uwekezaji katika hifadhi hizo katika semina ya wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwenye moja ya kumbi za mikutano ya Bunge jijini Dodoma Januari 18, 2023.
Mhifadhi Mwakilema alieleza kuwa  hifadhi za Serengeti na Tarangire zimefikia ukomo wa uwekezaji kiasi kwamba hivi sasa wanaoomba kuwekeza kwenye hifadhi hizo hushauriwa kwenda kuwekeza kwenye hifadhi zingine nchini.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Pindi Chana akitoa ufafanunuzi wa mambo mbalimbali na kuahidi kuyafanyia kazi mawazo na ushauri uliotolewa na wabunge.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Jabiri Shekilindi akiongoza semina hiyo.
Baadhi ya wabunge wa kamati hiyo wakitoaushauri wakati wa semina hiyo.











PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages