Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa tayari Serikali imeanza kuchukua hatua kufuatia ripoti iliyochapishwa kwenye vyombo vya habari juu ya uwepo wa baadhi ya shule zinayofundisha wanafunzi maadili mabaya
Prof. Mkenda ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma leo Januari 17, 2023, ambapo amesema kuwa wamesikitishwa na tabia hiyo mbaya.
Aidha waziri Mkenda ameongeza kuwa wizara imekusudia kuchukua hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutoa namba maalumu kwaajili ya kutoa taarifa ya vitendo hivyo katika shule za umma au binafsi
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇