LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 7, 2023

RAIS DK. MWINYI AFUNGUA SKULI YA MSINGI SALIM TURKY

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi afungua Skuli ya Kisasa ya  Msingi Salim Turky iliopo kwa Bintihamrani iliyogharamiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Ufadhili wa mkopo nafuu wa Uviko-19 kupitia Shirika la fedha Duniani (IMF).


Dk. Mwinyi alieleza hadhi ya skuli zote za Zanzibar  kwa sasa zinatakiwa kuwa na majengo ya ghorofa yaliyokamilika kwa huduma za kisasa ikiwemo maabara ya sayansi,maktaba na vyumba vya kompyuta na kuahidi ifikapo Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar mwakani anatarajia kufungua miradi mikubwa zaidi ya maendeleo. 




📆06 Januari 2023,

đź“ŤSkuli ya Msingi Salim Turky,Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages