Seka Sekondari ni shule mpya ambayo kwa sasa ina wanafunzi wa Kidato cha Kwanza hadi cha Tatu ( FI - FIII).
Jumla ya WANAFUNZI ni 344, na WALIMU wapo wanane (8)
Sekondari hii ilijengwa baada ya kubaini kwamba Sekondari ya Kata (Kasoma Sekondari) ilikuwa imeelewa na wingi mkubwa wa wanafunzi kutoka vijiji 5 vya Kata hiyo (Kata ya Nyamrandirira).
MAABARA YA SEKONDARI
Seka Sekondari HAINA MAABARA, kwa hiyo mafunzo ya vitendo (practicals) yanafanyiwa kwenye chumba kimoja cha darasa.
Sekondari hii inahitaji MAABARA 3 za Physics, Chemistry & Biology
HARAMBEE YA MBUNGE YA UJENZI WA MAABARA
Siku/Tarehe
Alhamisi, 2.2.2023
Muda:
Saa 3 Asubuhi
Mahali:
Seka Sekondari
Kijijini Seka
MICHANGO IPELEKWE kwa:
Headmaster
Seka Sekondari
0787 411 265
OMBI MAALUM
Wazaliwa wa Kata ya Nyamrandirira wanaombwa sana wachangie ujenzi huu. Hao ni wazaliwa wa vijiji vya Chumwi, Kaboni, Kasoma, Mikuyu na Seka.
*Wadau wengine wa Maendeleo wanaombwa kuchangia ujenzi huu - Maabara 3 za Seka Sekondari.
ELIMU NI UCHUMI
ELIMU NI MAENDELEO
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
Tarehe:
Jumamosi, 28.1.2023
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇