LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 19, 2023

MBIVU, MBICHI YA HALMASHAURI ZILIZOCHEMSHA KUJULIKANA JANUARI 27+video


 Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Stanslaus Mabula akielezea mbele ya vyombo vya habari Dodoma Januari 18, 2023, kuhusu halmashauri na manispaa zilizochemsha yaani haziko sawa watautaarifu umma Januari 27, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Mabula akieleza hayo mbele ya wanahabari....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU
 KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages