LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 2, 2023

JAJI MFAWIDHI DK. JOHN UTAMWA AFARIKI DUNIA, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Na CCM Blog, Dar es Salaam 

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa Dk. John Harold Kulimba Utamwa amefariki Dunia.

Taarifa za awali zimesema amefariki Dunia leo Januari 2, 2023, akiwa katika Hospitai ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua.

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa Dk. John Harold Kulimba Utamwa, enzi za Uhai wake.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages