LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 10, 2023

CHONGOLO AAGIZA JUMUIYA ZA CCM KUANDAA MAFUNZO KWA VIONGOZI WAPYA+video


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.


Inayofuata ni Sehemu ya Hotuba ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo wakati wa Kilele cha Matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tareheb10, January 2023 katika uwanja wa Kwacha, kijiji cha Paje mkoa wa Kusini Unguja.

Mgeni Rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages