LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 14, 2023

CCM KUFANYA KIKAO CHA NEC LEO, JUMAMOSI, JAN. 14, 2023, JIJINI DAR ES SALAAM

CCM Blog, Dar es Salaam

Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumamosi, Januari 14, 2023 kinatarajiwa kufanya Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kikiongozwa na Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan.


Kwa mujibu wa taaifa zilizopatikana, kikao hicho kitafanyika Jijini Dar es Salaam, kuanzia Saa 5:00 asubuhi na kitakuwa kikao cha kwanza cha juu cha CCM kufanyika mwaka huu wa 2023. 

Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages