LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 28, 2022

TMA YATOA ANGALIZO KUTOKEA MVUA KUBWA MIKOA 11 NCHINI

 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara zinazotarajiwa kunyesha katika mikoa 11 ya Tanzania.

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa na Mamlaka hiyo kuhusu matarajio ya Hali ya Hewa, imeelezwa kuwa Mikoa hiyo ni Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe, Rukwa, Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara.





No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages