Mkutano huo uliofanyika Disemba 9, 2022 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa UWT na wanachama wa CCM ambapo pia Chatanda na makamu wake Zainab Shomari walizawadiwa zawadi mbalimbali
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama (kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya Rais kutoka kwa Mwenyekiti wa UWT Taifa, Chatanda.
Makundi mbalimbali yakitoa zawadi kwa Mwenyekiti wa UWT Taifa, Chatanda na Makamu Mwenyekiti Zainab Shomari.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇