Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa serikali wa Tanzania Bara na Zanzibar kuheshimiana, kushirikiana kuijenga Tanzania iliyo moja tu. Ameyasema hayo alipokuwa akifunga Mkutano Mkuu wa Kumi wa chama hicho kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Disemba 8, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Samia akilitilia mkazo jambo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇