LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 8, 2022

MATUKIO KATIKA PICHA MKUTANO MKUU WA 10 WA CCM TAIFA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu wa 10 wa chama hicho kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Disemba 8, 2022. Mkutano huo ulioanza jana na kuambatana na Uchaguzi Mkuu wa viongozi umefungwa rasmi leo
Makamu Mwenyekiti wa CCM TG anzania Visiwani, Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Makamu Mwenyeikiti wa CCM Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana.

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo.
Wajumbe wa mikoa mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.
Wajumbe kutoka Zanzibar
Wajumbe wa Mkoa wa Mwanza


Wajumbe kutoka Kigoma.




Wajumbe kutoka Mkoa wa Dar es Salaam.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages