Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mary Chatanda akielezea jinsi UWT ilivyojipanga kuhakikisha wanafanikisha ushindi wa chama hicho katika chaguzi mbalimbali nchini, kumsemea, kumpigania na kumpambania Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia.... Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa UWT Taifa kumpongeza Rais Samia kwa ushindi mkubwa alioupata kuwa Mwenyekiti .
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, Fatma Toufiq akizungumza kwa niaba ya wabunge wanawake.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa UWT nchini, Neema Majule akiwasalimia wananchi waliohudhuria mkutano huo.
Mmoja wa waasisi wa UWT, Getrude Mongella akiwafunda viongozi wa umoja huo.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile akkuwapa tambiko la kigogo na kirangi mwenyekiti wa UWT Chatanda na Makamu wake, Zainab.itangaza
Makamu Mwenyekiti wa UWT, Zainab Shomar akihutubia kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti Chatanda.
Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Rugangira akisoma maazizmio ya UWT.
Zainab akiserebuka muziki pamoja na wanawake waliohudhuria mkutano huo. |
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chatanda akinena mambo hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇