LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 9, 2022

KUMEKUCHA MKUTANO WA UWT KUMPONGEZA RAIS SAMIA


Wanawake kutoka mikoa mbalimbali wakicheza kwa furaha wakati wa  mkutano wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), kumpongeza Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mkubwa alioupata wa uenyekiti na kutunukiwa shahada ya udaktari. 


Mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa  mikutano wa Jakaya Kikwete Desemba 9, 2022 jijini Dodoma umempongeza pia Mwenyekiti mpya wa UWT, Mary Chatanda na MAkamu Mwenyekiti, Zainab Shomari.
Mwenyekiti mpya wa UWT, Mary Chatanda  (kulia)na Makamu Mwenyekiti, Zainab Shomari.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akisalimia kabla ya kutoa salamu za pongezi za mkoa huo kwa Rais Samia na Mary Chatanda.




Mmoja wa waasisi wa UWT, Getrude Mongela akiwafunda viongozi na wanawake kwa ujumla.



Baadhi ya wabunge wanawake




Waziri wa TAMISEMI, Angela Kairuki akitoa pongezi kwa niaba ya mawaziri wanawake.M







Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab
Mbunge wa Viti Maalum, Fatma Tawfiq akitoa salamu zA pongezi kwa niaba ya wabunge.




Katibu wa NEC idara ya Organaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu *(MCC)*, *Dr. Maudline Cyrus Castico (kushoto) akijadiliana jambo na  Mongela.




No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages