Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Mary Chanda (kulia) na Makamu wake, Zainab Shomari wakiwa wamevalia nguo za jadi ya kabila la wagogo (nyeusi) na kabila la Warangi (nyeupe) walipofanyiwa matambiko ya kabila la wagogo na warangi ikiwa ni ishara ya kuwapongeza na kuwakaribisha rasmi mkoani humo.
Tukio hilo lilifanyika wakati wa mkutano wa UWT Taifa kumpongeza Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mkubwa alioupata pamoja na tuzo mbalimbali anazopata kutoka ndani na nje ya nchi. Mkutano huo ulifanyika Desemba 9, 2022 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chatanda na Zainab wakifanyiwa matambiko hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇