LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 22, 2022

CHATANDA ASHUHUDIA RAIS SAMIA AKIRUHUSU KUANZA KUJAZA MAJI BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda (katikati) na makamu wake, Zainab Shomari  wakiwa na viongozi wenginebaada ya kushuhudia tukio la kihistoria la Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuruhusu kuanza kujaza maji katika Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere kwa ajili ya kuzalisha umeme, Disemba 22, 2022 Rufiji, mkoani Pwani.





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages