LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 2, 2022

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MRADI WA MAJI KIGAMBONI, LEO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa maji kwenda kwa wananchi, wakati alipotembelea na kuzindua mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja, wakati alipotembelea na kuzindua mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasha moja ya pampu zinazozalisha maji katika mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku, alipouzindua mradi huo, leo, Novemba 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages