Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Joel Spicer pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kutoka Afrika; Rais mstaafu wa Malawi Joyce Banda na Vivian Onano kutoka Kenya, jana Jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Katika kikao chao kifupi wamezungumzia mipango yao ya kuhakikisha suala la lishe linaendelea kupewa mkazo na nchi za Afrika ili kuboresha hali ya lishe Barani Afrika.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇