LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 18, 2022

UCHAGUZI JUMUIYA YA WAZAZI CCM MKOA WA DODOMA WAPAMBA MOTO+video

 

Shughuli ya upigaji kura kuchagua viongozi mbalimbali wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Mkoa wa Dodoma ukiendelea kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Novemba 18,2022.
Baadhi ya wagombea wakiwa na namba zao jukwaani.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi CCM Tanzania, Ndg. Gilbert Kalima akitumbukiza kura kwenye sanduku wakati wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya hiyo. 
Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Agustino akitumbukiza kura kwenye kisanduku.
Msimamizi wa Uchaguzi huo, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri akiwa makini kuhakikisha uchaguzi unakwenda sawa.


Wajumbe wakisubiri kupiga kura

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, shughuli ya upigaji kura....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages