LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI AWAAPISHA LEO VIONGOZI ALIOWATEUWA JANA, IKULU MJINI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Saleh Juma Mussa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk. Islam Seif Salum kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Abeda Rashid Abdallah  kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapishaThabit Idarous Faina kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi, katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha, Khamis Abdulla Saidi kuwa Katibu Mkuu katika  Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Maryam Juma Sadalla kuwa Katibu Mkuu (Kazi na Uwezeshaji) katika Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman (kushoto) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana Mustafa wakiwa katika hafla ya kiapo kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni, iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ni wakiwa kwenye hafla hiyo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha zote na Ikulu, Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages