LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 3, 2022

RAIS SAMIA AKETI KATIKA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS XI JIPING MJINI BEIJING, NCHINI CHINA, LEO NOVEMBA 3, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping, aliposili katika Ukumbi wa The People Great Hall baada ya Rais Xi kumpokea rasmi mjini Beijing nchini humo, leo Novemba 3, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimia Viongozi mbalimbali huku akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping, alipowasili katika Ukumbi wa The People Great Hall baada ya Rais Xi kumpokea rasmi mjini Beijing nchini humo, leo Novemba 3, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan (kulia) akiongoza Ujumbe wake katika mazungumzo ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping, alipowasili katika Ukumbi wa The People Great Hall baada ya Rais Xi kumpokea rasmi mjini Beijing nchini humo, leo Novemba 3, 2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages